focus ngajimala
Member
- Jun 18, 2012
- 58
- 5
Kuna mdogo wangu anataka kufanya kazi ya kuuza duka la dawa (famasia) sasa ameambiwa hadi asome nursing attendant then akachukue short kozi ya TFDA sasa tatizo cheti chake cha kidato cha Nne hajafahuru masomo ya sayansi. Na kila chuo wananiambia wanataka pass marks za science. Naomba msaada wenu wanajamii forum. Mayb kunachuo kinatoa Pre_nursing Or' access course?