Msaada wa kimawazo

yaani we hata uweke nukta tu mi hoi! :focus:mwanamume na mwanamke wakiishi pamoja ndani ya miezi sita si ndoa tayari hiyo?
ki dini ya kiislam ndoa ni ile waliozeshwa na shekh mwanamme masjid baaass,,,, nijuavyo mimi katika dini niliokuwa,,,
 
mh 45 sasa ndugu mahusiano yasiwepo atampat huyo mwengine???? allahu yaalamm,,,,maybe she can bcouse vijana wa sasa wanatafuta majimama wenyewe,,, all dah best inshaallah!!
jimama lenyewe liwe na mipesa na liwe tayari kuwa heartbreaked anytime
 
Asanteni sn mnazdi kunijengea capacity ya kumu advice huyo dada. Upande wa pili si rahc kupata maelezo manake cna hakika km huyo bwan shem ni member wa great thinkers. Na kama yupo hope atajimwaya mwaya hapa
 
asanteni sn mnazdi kunijengea capacity ya kumu advice huyo dada. Upande wa pili si rahc kupata maelezo manake cna hakika km huyo bwan shem ni member wa great thinkers. Na kama yupo hope atajimwaya mwaya hapa

itakuwa ni vizuri zaidi tukisikia pande mbili hapo ndio tutaweza kuelewa vizuri na kushauri
 

............kugombana ni sehemu ya mapenzi,tena hasa wakati huu wa kufunga mwaka,amsamehe warudiane na kujenga familia...........
 
............kugombana ni sehemu ya mapenzi,tena hasa wakati huu wa kufunga mwaka,amsamehe warudiane na kujenga familia...........

Hebu badilisha hiyo statement tafadhali acha kupotosha watu
 
............kugombana ni sehemu ya mapenzi,tena hasa wakati huu wa kufunga mwaka,amsamehe warudiane na kujenga familia...........
husitulazimishe tuamini aina ya maisha unayoishi na mpenzio
 
there you go...time heals everything
 

Nini chanzo cha ugomvi wao manake kuna issue nyingine ni nzito , kusamehe unakuwa unajidanganya.Pili huyu jamaa hana mwanamke mwingine kweli manake huo umri wake kidogo uko mbali, watoto hao wengine alipata vipi isije kuwa ndo tabia yake kuwatotolesha halafu anakuwa anadonoa wote bila kujuana. Naomba maelezo yako Lady G ili niwe na nafasi ya kushauri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…