Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jan 10, 2023 #1 Naomba msaada wa tafsiri ya haya maneno katika lugha adhimu ya kiswahili. "If you have financial obligations, how will you manage it."
Naomba msaada wa tafsiri ya haya maneno katika lugha adhimu ya kiswahili. "If you have financial obligations, how will you manage it."
lukatony JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 667 Reaction score 523 Jan 10, 2023 #2 Sa 7 mchana said: Naomba msaada wa tafsiri ya haya maneno katika lugha adhimu ya kiswahili. "If you have financial obligations, how will you manage it." Click to expand... Kama una tatizo la kindoa,chepuka ndo suluhisho
Sa 7 mchana said: Naomba msaada wa tafsiri ya haya maneno katika lugha adhimu ya kiswahili. "If you have financial obligations, how will you manage it." Click to expand... Kama una tatizo la kindoa,chepuka ndo suluhisho
IamBrianLeeSnr JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 2,010 Reaction score 4,179 Jan 10, 2023 #3 "Ikiwa una majukumu ya kifedha, utayasimamia vipi."
Mynd177 JF-Expert Member Joined Dec 3, 2022 Posts 2,817 Reaction score 5,141 Jan 10, 2023 #4 Kama una wajibu wa kifedha, utaushughulikia vipi.
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jan 10, 2023 Thread starter #5 Mynd177 said: Kama una wajibu wa kifedha, utaushughulikia vipi. Click to expand... IamBrianLeeSnr said: "Ikiwa una majukumu ya kifedha, utayasimamia vipi." Click to expand... Mwana kwetu mmetisha. Ahsanteni sana.
Mynd177 said: Kama una wajibu wa kifedha, utaushughulikia vipi. Click to expand... IamBrianLeeSnr said: "Ikiwa una majukumu ya kifedha, utayasimamia vipi." Click to expand... Mwana kwetu mmetisha. Ahsanteni sana.
LOGORIDDIM JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 1,470 Reaction score 972 Jan 10, 2023 #6 Mynd177 said: Kama una wajibu wa kifedha, utaushughulikia vipi. Click to expand... Jibu sahihi ndio hili
Mynd177 said: Kama una wajibu wa kifedha, utaushughulikia vipi. Click to expand... Jibu sahihi ndio hili
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 Jan 10, 2023 #7 Hapo imeandikwa hivi. Kama huwezi kununua malaya basi piga punyeto