Msaada wa kisaikolojia: Mtu anaependa kukaa mwenyewe

blackstone

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
128
Habari wana JF,

Je ni tatizo gani la kisaikolojia alilonalo mtu anayependa kuishi mwenyewe, kufanya mambo yake mwenyewe, kupenda kukaa mbali na watu na hata wakiwepo wasiwe wengi sana na hata katika swala la kusoma kupenda kusoma mwenyewe kila kitu yeye ni mwenyewe, mwenyewe, mwenyewe.

Karibuni wakuu tumsaidie huyu bwana mwenyewe.
 
Lazima utakuwa mmbea, vile vile unaweza kupunguza concentration kwa sababu akili inakuwa imezoea kufanya kazi yenyewe bila kuingiliaba na watu.
 
Sometimes it happens when The Great thinker surrounded by ****** because the two type of guys have neither common ideas nor common approaches.
Wazo lako zuri japo hukuliweka wazi sana.
Kuna sababu kadhaa na zenye milengo tofauti kama nitakuwa nimekuelewa.
1.Kutojiamini hasa unapokuwa na watu weng.... Hii humfanya mtu aamini kila anachofanya au kuongea aidha hayuko sahihi au kuna mtu anajua zaidi yake.Hivyo,anahofia mapokeo hasi ya wenzake(negative perceptions)
2.Kumbukumbu ya matendo aliyotendewa katika umri mdogo yaliyopelekea kuwa mwoga,hofu au upweke. Hii humpelekea mtu kutopenda hata watu wasijue anawaza nini.
3.Kujiamini zaidi kuwa unaweza kiasi cha kutotegemea msada wa mawazo na michango ya watu. Wapo watu huamini wanaweza/kujua kila kitu bila kujali wanajua kwa kiwango gani. Hali hii huwafanya watu hao huamini kuwa ni baadhi tu ya watu wenye uelewa kama wake....tena ambao ni wakufikirika ktk kichwa chake na siyo wale wanaomzunguka.Hivyo,kudharau wengine na kuona siyo wa hadhi yake kushirikiana nao.
4.Kupenda kutumia muda vizuri hasa kwa kile wanachokijua,kukiamini na kukifanya.Hii hasa ni kwa watu wenye uchu na malengo ya mafanikio.
5.Aliwahi kutengwa na siku zote hujiona ametengwa.Hamuamini mtu.
6.Ana historia ya uovu na anataka kudhibiti siri zake.

HATA HIVYO.....NI VEMA KUJUMUIKA PANAPOLAZIMU.KAMA INAKULETEA SHIDA NA HATA KUINGIA KATIKA MASUALA YA KUMSEMA MTU NI VEMA KUJIEPUSHA
 
mkuu mi mmoja wapo. ninapokua kwenye watu wengi huwa nashindwa kuwa efficient najisikia nguvu zinaisha mwilini. huwa nahitaji mda wa kukaa peke yangu. na nikiwa peke yangu akili ndio inafanya kazi sana. huwa sipendi kelele kabisa so kuwa peke yangu naepukana na kelele
 
I think this article is useful.


Happiness in Solitude, by Beopjeong Sunim

Human existence is fundamentally about being alone. We’re born alone, live life as long as we can, and then eventually die alone. Although we may live our lives connected with others, we all maintain our own individual views and belief systems. Just as we each have different facial features, our individual karmic tendencies, which direct our lives, also differ.

We as individual practitioners seek out favourable conditions that allow us to remain in solitude. Though we may live in a community in any given location, we each live like hermits. We may rely on each other, but we do not become entangled with or attached to the lives of others. Above all, we value the profundity of independence and freedom.

Just as wild animals wander the forests in the search of food, we strive on alone to uncover autonomy and freedom. According to a verse from the Sutta Nipāta, an early Buddhist scripture:

If one acquires a clever companion, an associate righteous and wise, let him, overcoming all dangers, wander about with that person glad and thoughtful. If one does not acquire a clever companion, an associate righteous and wise, then as a king abandoning his conquered kingdom, let him wander alone like rhinoceros.

After all, people wish to live their lives like the lotus flower – untainted by the muddy environment it grows in.

In solitude one can exist as a whole, yet when surrounded by others one becomes a part of the whole. Krishnamurti, one of the most renowned spiritual mentors of our time, stated:

The single word ‘solitude’ demonstrates an untainted and innocent nature – free while being whole and unbroken. Only when you can stand alone can you finally remain untainted by the whole and live amongst the world. In lonesomeness, you can exist perfectly vibrant and supportive, as originally mankind is part of the totality.

In other words, individual entities must remain part of society.

Everything is interconnected. For example, an island which seemingly floats on the ocean has its roots firmly connected to the earth. As such, solitude and isolation also differ. Solitude is like a sharp hunger pang felt on the side of your stomach, while isolation can be compared to prisoners shut off from the world. Although solitude can bring clarity and purity, isolation is total disconnectedness without an outlet.

Ohiyesa, also known as Charles Eastman of the Dakota Indian tribe once said:

The Truth is closer to us when we are alone. That aloneness does not seem ever present in conversation with the Indians, the most important thing is worship. Often are you alone in nature – anyone who enters that solitude grows day by day and will know that there is joy.

This joy is aligned with the essence of life.

A person in solitude may remain in loneliness, though not become isolated. Although relationships can exist in solitude, there is no relationship that exists in isolation. All living beings require development and continually evolve through interconnectedness. In order to be with others especially while being alone, one must have perfect ‘self-management’ skills. If one neglects oneself and refuses to care, life without question will turn ugly.

Happiness and pleasure must be found in life, whether as an individual or in a group. Without joy and happiness life cannot be sustained. Happiness is obtained outside of oneself – when one finds oneself in the whole, life’s vitality and vigour can find their way through.

From this solitude happiness and joy will blossom.

‘Who walks life alone?’

‘The sun – the sun has gone alone.’
 
Nami mmoja wapo..sipendi kelele kabisa yani nikikaa sehemu nikaona watu wanapiga story ambazo hazinipi faida yoyte ile lazima ntanyanyuka maana mwisho wa siku tutaishia kusengenya...napenda sana nikiwa peke angu hata kwenye swala la kuangalia movie basi niangalie mwenywe au kama yupo mtu pemben yangu basi mawazo yetu yawe pamoja..sio mim nasikitika au nachka kuhusu movie we unaaza maswal unacheka nin!!....pia nadhan inanisaidia kuepuka na vitu vingi tu mfano ugomvi au marumban yasonatija...napenda kukaa peke angu nikiangalia movie..kusoma vitabu au kupeluzi kwa simu ili kujua nin kinaendelea dunia..lakin ukinifta nilipo na tukapiga story mdgomdgo hapo sawa ..ila tu usiwe mtopokaji wa ovyo!!....KUPITIA IVYO NAJIONA MWENYE FULAHA NA AMANI KULIKO KUKAA NA WATU WENGI ALAFU WAKAICHOSHA AKILI YANGU
 

Mkuu tuna share hizo features
 
Hiyo ni Schizoid Personality Disorder unakua na social withdrawal ila pia inaeza kua ni dalili za depression coz kuna possibility alishapata life trauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…