Msaada wa kisaikolojia: Mtu anaependa kukaa mwenyewe

Huo ndo ukweli.
Hahhahaaaa.. Hakuna kitu ka icho.... Sema tu watu huwa mnatutafsiri vibaya may be tunaringa au vibur kumbe wala mkituzoea na kutuchulia kama tulivyo aisee mbna mtu unatam. Uendelee kukaa nasi tu!..... Unajua siku zote ukitaka ukosane na mtu basi we nenda na mawazo yakr yani kile anachofikili au kukisema wewe umpingr basi hapo mtaanzisha maongez kibaaaaoooooo.. Yote ya nin hayo mtu unamwitikia tu unakausha kama ni mwelewa utamwelewesha mara moja. Akiendelea kubisha baaasiii unakaaa kimyaa tuuuu....
 
I enjoy being alone or with few people wasizid wawili tena ninaowakubali sio kujichanganya changanya hovyo hovyo,nkishamsalimia mtu basi kila mtu ashike hamsini zake sitaki kujua mambo ya mtu na sitaki mtu kunijua jua unless nijisikie mwenyewe
Yea... Mtu akikujua tu basi shida.. Mana atataka ajue unafnya nin.. Unaishi wapi na nani khaa! Mwisho wa siku anakudhalau
 
Kuna wakati ilinibidi nikae mwenyewe nikitoka kwenye mishe zangu natulia mwenyewe nyumbani maana lawama zilizidi hapa nina uzoefu wa kutosha wa kukaa pake yangu hata kaburini nitazoea faster mazingira mapya
 
 
we nae unaona mada ya kiswahili unaleta tena lugha ya malkia[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mi hata mtu akitaka urafiki siukubali, mpaka niuanzishe mimi.

Watu wenyewe hawaeleweki then ukae unafuatanafuatana na mtu ambaye zaidi atakupotezea muda wako. Hata sasa niko mwenyewe nyumbani kimya. Mtu akipita nje ya geti anaweza dhania hakuna mtu.

Kuna faida nyingi za kuwa hivi ingawa hasara yake naona ni UCHOYO na KUJIONA KUWA UKO SAHIHI KWA KILA JAMBO maana mtu unakuwa umezoea KUWA mwenyewe mwenyewe KWA MUDA MREFU.
 
Hili tatizo ninalo linanisumbua sana na siamini kama ipo siku nitakuwa normal kama watu wengine!

Napenda sana kukaa peke yangu sitaki mtu wa kunisumbua nilipo kaa,

Mda mwingine napenda kukaa na mtu ambae ni mwongeaji sana awe ananipigia story ambazo sijawahi kuskia popote pale niwe nakuskiliza tu nisiwe naogea chochote!


 
1. Kukaa mwenyewe naona ni kujiamini na kuonesha una msimamo kwambo una uwezo wa kufkir na kupanga mikakati ya kutatua jambo pasipo kutangaza shda zako kwa mtu pale unaposhndwa ndipo unaomba msaada.
2. Inaleta heshima na hupunguza mazoea ya kinafki maana watu watafanya namna kuchunguza mambo yako ila watashndwa
3. Inakujenga kuwa unjiamini na kuondoa aibu maana unaweza ukasimama au kupita mbele za watu pasipo kujifkiria
 
Safi mawazo mazuri
 
Hahaha Mimi na kiburi kimoja matata sana! Ukipita kwenye anga zangu lazma uni chape makofi!!

Na dharau naweza nikakudharau hadi ukajiuliza huko unako enda kama utafika salama ujafia njiani!!
 
Kuna wakati ilinibidi nikae mwenyewe nikitoka kwenye mishe zangu natulia mwenyewe nyumbani maana lawama zilizidi hapa nina uzoefu wa kutosha wa kukaa pake yangu hata kaburini nitazoea faster mazingira mapya

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni tatizo & litakuwa limeanzia utotoni, atakuwa na tabia ya uoga, kutojiamini etc
 
tupo wengi cjui kwanini?
 
Yea... Mtu akikujua tu basi shida.. Mana atataka ajue unafnya nin.. Unaishi wapi na nani khaa! Mwisho wa siku anakudhalau
Asipokudharau basi atajikuta anakuchukia kwa wivu akijua umemzidi mengi,binadamu sisi jmn
 
Huyo m2 hapendi usumbufuuuuuuu...........
 
Mkuu nimekuja kugundua sisi watu wa kimya most of them tunatafsirika ni Wenye dharau, kiburi, kujisikia na wachoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…