Msaada wa kisaikolojia: Mtu anaependa kukaa mwenyewe

Lakini ni kawaida ya Jambazi kama wewe[emoji41]
 
Kuna wakati ilinibidi nikae mwenyewe nikitoka kwenye mishe zangu natulia mwenyewe nyumbani maana lawama zilizidi hapa nina uzoefu wa kutosha wa kukaa pake yangu hata kaburini nitazoea faster mazingira mapya
Hili nalo neno...kaburini ntaishi na nani?
 
au na wewe ni bwana mwenyewe
Ndugu acha utapeli unaua usha watapeli wote unaochekanao sasa unataka kuwaingia watu wapweke aka great think utapotea watu wa hivyo ni kama mm uwa atuna masiala na mpuuzii
 
Sifa zetu ni hizi
1 ni vigumu kuwa chama cha CCM
2 atuendiendi kwenye nyumba za ibada
3 atupendi mambo ya kinafiki
4 ufikili kwa kutumia akili
5 atupendi kusumbua mtu wala kusumbuliwa
6 atupendi kujionyesha kipumbavu
Hata ni baadhi tu
 
Sifa zetu ni hizi
1 ni vigumu kuwa chama cha CCM
2 atuendiendi kwenye nyumba za ibada
3 atupendi mambo ya kinafiki
4 ufikili kwa kutumia akili
5 atupendi kusumbua mtu wala kusumbuliwa
6 atupendi kujionyesha kipumbavu
Hata ni baadhi tu
waambie pacha wangu kanisani mara ya mwisho nilienda 2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…