Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Habari wana JF. Mimi ni ME wa humu JF. Tatizo langu kubwa, nimepoteza hamu kabisa ya watoto wa kike. Ninapokuwa karibu yao ndo napata muwashawasha wa kuwa nao kwenye sita kwa sita. Ila ninapowapa mgongo, habari zao kwisha
Sijiskii kabisa kuwa kwenye mahusiano, na si hivyo tu, bali hata ninapowaona wapendanao wamekaa somewhere wanakula upepo, huwa nashikwa na hasira kali sana hadi kufikia hatua ya kuwapopoa na mawe maake naona ni kama wananiteta vile
Sipendi kabisa kukaa na wanawake kwa muda mrefu, sipendi nikiongea mchangiaji mkubwa awe mwanamke, nakasirika sana ninaposikia binti fulani ananitakia kheri (salamu), yaani nimejikuta tu nawachukia, pia nachukia mahusiano ilihali hawajanifanyia chochote kitu. Nahisi hili ni tatizo la kisaikolojia. Nifanyeje? 😭