Msaada wa kisaikolojia unahitajika haraka

Uyo anajifanyisha ili mama amuonee huruma,,,afilie mbali ukooo
 
Mchuma majanga daima ula na wenzake
 
Hawezi kukuelewa huyo, yeye anafikiri stress alizonazo Lisu basi kila mtu anazo
 
Sasa Bashiru kwa akili yako unafikri ana shida na vyeo?

Bashiru hivyo vyeo yeye ndio vilimfuata akiwa kashika chaki pale mlimani.

Ni ujuha kufikiri Bashiru ana msongo wa mawazo kisa vyeo.
 
Ni afadhali apiganie katiba mpya
Watanzania aina ya mleta mada ni wajinga sana jamani!

Mwenzio hapo anaondoka na milioni 11 per month nje ya marupu rupu mengine.

Ila wewe unaedemka hapa jf huku ukipiga miayo eti unataka umshauri kisaikolojia?

Akili au matope?
 
Acha kuingia katika Vita ambavyo huwezi kushinda.
Kubali kua mtetezi wako kafa.
La sivyo, they are going to fix you before July this year
 
Sasa Bashiru kwa akili yako unafikri ana shida na vyeo?

Bashiru hivyo vyeo yeye ndio vilimfuata akiwa kashika chaki pale mlimani.

Ni ujuha kufikiri Bashiru ana msongo wa mawazo kisa vyeo.
Any negative disturbance kwenye maisha ya mtu inaweza kumsababishia msongo wa mawazo.
Wewe unaangalia vyeo alivyopata huenda yeye Bashiru anajiona kama mtu aliyekosa imani thabiti kwa rais wa sasa na hilo linamsumbua.
 
Wewe ni Ndebile kweli. Umeeleza ukweli kwani Bashiru siyo mtu wa tamaa ya mali,vyeo na madaraka tangu utotoni.
 
Any negative disturbance kwenye maisha ya mtu inaweza kumsababishia msongo wa mawazo.
Wewe unaangalia vyeo alivyopata huenda yeye Bashiru anajiona kama mtu aliyekosa imani thabiti kwa rais wa sasa na hilo linamsumbua.
Ndio kakwambia hivyo?

Bashiru kateuliwa ubunge na huyo huyo Samia, kwanini uanze kusema hana imani nae?
 
Watanzania aina ya mleta mada ni wajinga sana jamani!

Mwenzio hapo anaondoka na milioni 11 per month nje ya marupu rupu mengine.

Ila wewe unaedemka hapa jf huku ukipiga miayo eti unataka umshauri kisaikolojia?

Akili au matope?
Unanijua? Au kulingana na maisha yako unadhani wenzako wote members wa JF ni masikini?
Pole sana. Kwako milioni 11 unadhani ni kitu kuliko madaraka? Umasikini ni kitu kibaya sana na utakufanya uendelee kuwa mtumwa
 
Unaishi kwa nadharia mkuu, huyajui yanayo endelea Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…