Imewahi kuwa mtumishi wa umma wewe? Au umeishia uhudumu wa ofisi?Ndio kakwambia hivyo?
Bashiru kateuliwa ubunge na huyo huyo Samia, kwanini uanze kusema hana imani nae?
Msaada wa Kisaikolojia ambao tunaweza kumpa ni Kumwomba tu Israeli nae afanye kile kile alichokifanya na kutufurahisha Watanzania wengi Kwake.Binadamu yeyote anapoonyesha kuwa katika msongo wa mawazo anahitaji kupewa msaada wa kisaikolojia haraka kabla hali haijawa mbaya.
Huyu mheshimiwa asaidiwe na wale aliokuwa akiwahudumia kama KM maana wamemtosa hata kum address kama KM mstaafu hawataki.
Kauli yake ya " Ili ubaki na dola tumia dola kubaki na dola" naona kwake mwenyewe imeshindikana.
Nimepewa taarifa toka mjengoni kuwa jamaa anahitaji uangalizi na ushauri.
Asaidiwe!
Duh kweli maisha yamepambwa na panda shuka kibao.Jela inamsubiri. Alimwambia mama "Tanzania kwa sasa haijawa tayari kuwa na rais mwanamke, unaonaje ukijiuzulu"
Baada ya kuapishwa mama akamjibu "aliyesimama hapa ni Rais mwenye jinsia ya kike".
USHAURI WANGU: Aende Ikulu na waandishi wa habari akaombe msamaha kama Nape kwa Magofool.
View attachment 1759343

Kwani hiyo nafasi aliiomba? Si aliteuliwa tu?Imewahi kuwa mtumishi wa umma wewe? Au umeishia uhudumu wa ofisi?
Unajua madhara ya kumnyang'anya madaraka mtu aliyekuwa Katibu mkuu wa chama tawala na pia CS na kumuacha tuu?
Kama hilo huwezi kulijua basi kaa kimya
Wewe ni masikini tu tena ukute unaishi kwa shemeji yako!Unanijua? Au kulingana na maisha yako unadhani wenzako wote members wa JF ni masikini?
Pole sana. Kwako milioni 11 unadhani ni kitu kuliko madaraka? Umasikini ni kitu kibaya sana na utakufanya uendelee kuwa mtumwa
Eti ee? Lisu ataturudisha?Siku zenu za kubakia tanzania zinahesabika maana aliyewaleta tanzania hayupo tena duniani
Muache tu hana mawazo amechukua nafasi ya Chadema kudeka, alisema chadema wanadeka. Sasa zamu yake kudekaBinadamu yeyote anapoonyesha kuwa katika msongo wa mawazo anahitaji kupewa msaada wa kisaikolojia haraka kabla hali haijawa mbaya.
Huyu mheshimiwa asaidiwe na wale aliokuwa akiwahudumia kama KM maana wamemtosa hata kum address kama KM mstaafu hawataki.
Kauli yake ya " Ili ubaki na dola tumia dola kubaki na dola" naona kwake mwenyewe imeshindikana.
Nimepewa taarifa toka mjengoni kuwa jamaa anahitaji uangalizi na ushauri.
Asaidiwe!
😂😂😂😂😂😂😂😂👹💃Jela inamsubiri. Alimwambia mama "Tanzania kwa sasa haijawa tayari kuwa na rais mwanamke, unaonaje ukijiuzulu"
Baada ya kuapishwa mama akamjibu "aliyesimama hapa ni Rais mwenye jinsia ya kike".
USHAURI WANGU: Aende Ikulu na waandishi wa habari akaombe msamaha kama Nape kwa Magofool.
View attachment 1759343
Pesa sio tatizo tatizo nafsi haijakaa sawa kwa matendo yeke pengineBashiru atakuwa mjinga ikiwa ana mawazo ya kuachwa kwenye ukatibu mkuu KIONGOZI.
yaani umekaa Tu hapo mijihera inaingia Tu alafu uwe na mawazo?
Na haina makato yoyote e.g. PAYE, n.k.Watanzania aina ya mleta mada ni wajinga sana jamani!
Mwenzio hapo anaondoka na milioni 11 per month nje ya marupu rupu mengine.
Ila wewe unaedemka hapa jf huku ukipiga miayo eti unataka umshauri kisaikolojia?
Akili au matope?
Amekaa Ikulu wiki nne tu. Ndio Katibu Mkuu kiongozi wa kwanza duniani kustafishwa baada ya siku 28.Alichofanyiwa ni psychological torturing ni mbaya mnooooo
Ogopa Sana mahakama ya kijamii ikikuhumu umekwishaAlichofanyiwa ni psychological torturing ni mbaya mnooooo
Macho huona kile anachowaza mtazamaji...mfano wakati watu wanakupongeza kwa kuoa mke mzuri wewe mawazo yako unaona kama "watakupindua" na kukuchukulia mke kwasababu ndio ilikuwa tabia yako, ubaya uliopo kwenye matendo yako ya zamani unafanya macho yako yaone kila mtu mbele yako ni mbaya au anataka kukufanyia ubaya....! Ulimuona BAshiru katika mwili tofauti na huu?Ataendelea kuteseka sana na bado hadi akonde kama msumari
Pesa sio tatizo tatizo nafsi haijakaa sawa kwa matendo yeke pengine