Msaada wa kisaikolojia

Msaada wa kisaikolojia

Joined
Dec 10, 2019
Posts
82
Reaction score
37
Hapo zamani za kale nilikuwa mtumishi wa Umma nilipata wasaha wa Kufanya KAZI na mlemavu WA viungo yaani alikuwa na tatizo la mguu na alikuwa bosi wangu...

Baada ya kutoa maamuzi Kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma nilidharau Kwa kutumia maandishi Kwa kuzingizia Mie ni Bora zaidi na ni fursa. Kupitia Dharau za Maamuzi yake yalitengeneza fursa Kwa watu wengi ambao wakitumia kusambaza ujumbe ili waweze kuteuliwa/kupendwa na viongozi wa ngazi za juu ikiwemo RAIS..

Hakika ilikuwa vurumai fursa juu ya fursa Kwa naojua saikolojia ya vita vya panzi furaha Kwa kunguru inasababishwa Hali isiyo himilivu ya kuficha aibu zangu hapa Ndiyo kuuwana huwa ni Jambo dogo .. Kwa kuwa jamaaa anafedha labda KAZI unakaribia


Utani Tu Ila yaweza kuwa kweli ukidharau Kanuni hakika hakuna Sheria watu watoke JELA MAANA ni fursa...
 
Back
Top Bottom