Msaada wa kisayansi na ubora wa bidhaa za kemikali

king herode

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
368
Reaction score
571
hello,
nikiwa kama mwakilishi wa RESEARCH AND CHEMICAL ANALYSIS AGENCY (RCAAT) napenda kuwahabarisha wajasiriamali kuwa tunatoa msaada wa (majadiliano ya ubora wa bidhaa) consultation, (upimaji wa vipimo muhimu vya kudhibitisha ubora wa bidhaa yako) chemical analysis, ushauri wa kisayansi pamoja na kuuza na kusambaza chemicals na kutoa msaada wa kikemikali katika sheria zinazohusu matumizi kama zilivyotajwa hapo juu
kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii 0657294949, 0715058481
nawasilisha.
 
Mkuu dadavua kidogo ni kama bidhaa gan mnathibitisha ubora wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…