msaada wa kisheeria nataka kunyang'anywa ardhi

Mas The Great

Senior Member
Joined
Dec 27, 2011
Posts
150
Reaction score
64
wadau naomba msaada wa ushauri wa kisheria.
kabla ya utaratibu wa mashamba ya kijiji kipindi cha Nyerere tulikuwa tukimiliki mashamba makubwa huko kijijini kwetu msoma. baada ya utaratibu wa mashamba ya kijiji mashamba yetu yalichukuliwa na serikali na kuanzisha mashamba ya kijiji. baada ya utaratibu wa mashamba hayo kufa. yale mashamba tuliyachukua tena na kuanza kuyalima. kwa sasa yapat miaka 13. mwenyekiti mpya wa serikali ya kijiji aliyeingia ameanzisha kampeini ya kuyadai ahayo mashamba na nasikia anaka kwenda mahakamani kwa madai kwamba mashamba hayo yarudi mikononi mwa kijiji wayagawe kwa wananchi na utaratibu wowote watakaoona ni sahihi. je nisome vipengele vipi vinavyoweza kunisaidia kujielimisha hili linalojongea? je nivisome wapi? au ni lipi ninalotakiwa kufanya wakati ambao amwenyekiti wa kijiji yuko katika harakati zake? naomba msaada
 
Mkuu soma sheria ya ardhi ya kijiji ya mwaka 1999, pia lazima utambue kuwa ndani ya sheria hiyo mtu binafsi haruhusiwi kumiliki ardhi inayizidi ekari mia mbili, vp hayo mashamba yenu ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom