Msaada wa kisheria, ananisingizia mtoto

Msaada wa kisheria, ananisingizia mtoto

Vicin

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Posts
676
Reaction score
295
Habari wadau.
Kuna mwanamke ananisingizia litoto jamani naombeni msaada wenu. Tulishawahi kuwa kwenye mahusiano, tumeachana mda ukapita, sahivi anasema ana mtoto wangu mtaani. Msaada wa kisheria wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha asee umesana mtego mkuu wanawake kwa kwel ndo wanajua baba wa mtoto ni nani
Kasema ni wewe so amin hivo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Litoto ndio kitu gani?

“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”

 
Back
Top Bottom