Msaada wa kisheria, ananisingizia mtoto

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] huyo mama amekosea awamu za kusingizia sio hii ya [emoji1421].
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] huyo mama amekosea awamu za kusingizia sio hii ya [emoji1421].
Kabisa kabisa mdau...
Vyuma vimekaza.
 
Kuna watu wanatafuta hata Huyo wa kusingiziwa.
 
Et asugue goti kanisani atapata msaada duuuh, ushauri mwingne bora ulale kwanza usingizi kabla hujausikiliza
 
Kuna watu wanatafuta hata Huyo wa kusingiziwa.
Ni kweli, ila kila mtoto ana baraka zake, tatizo ni kwa mwanamke na familia yake.
Na kama amenicheat kabla hata ya ndoa, je baada ya ndoa si ataleta watoto nisiowaelewa???!!! N.B. mamayake anatabia hizo hizo.
 
We mkatae alafu kazia hapo hapo kwenye msimamo wako...wanawake ndivyo walivyo apo anakutest...ukilegea tu inakula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…