chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Ni vizuri hayo makubaliano yenu yakafanyika mbele ya Mwanasheria/Advocate ili yawe legally enforceable kama pakitokea hali isiyotarajiwa.So tafuta mwanasheria mwenye kibali na aliye stamp ili awaandalie mkataba ulio kisheria zaidihabarini
kuna rafiki yangu hapa, so far ni mwaminifu, ila anataka nimkopeshe 4,000,000 ili ajazie kwenye working capital ya biashara yake
makubaliano ni atakuwa ananilipa 5% ya deni kila mwisho wa mwezi kama riba, na tumewekeandikiana mkataba na kusainiwa na pande mbili pamoja na shahidi,
je kikitokea chochote kile ambacho kinaweza kukwamisha kulipwa pesa yangu, kesi yangu itakuwa na mashiko nikidai kortini?
badoHiyo PESA umeshampatia ama bado?
ok nitafanya hivyoNi vizuri hayo makubaliano yenu yakafanyika mbele ya Mwanasheria/Advocate ili yawe legally enforceable kama pakitokea hali isiyotarajiwa.So tafuta mwanasheria mwenye kibali na aliye stamp ili awaandalie mkataba ulio kisheria zaidi
ok nitafanya hivyo
ok, shukrani wakuuWeka mkataba wako kisheria na wakili apige mhuri ,ni vizuri pia ueleze kama kuna mali itataifishwa akishindwa kurudisha deni.
Fuata ushauri uliopewa hapo Juu usifanye hili jambo kienyeji, nilishapigwa kwa kumuamini rafiki kama ulivyomuamini mwenzio.