Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 283
Hwy
Nilikuwa nimesafiri.... Mfanyakaz mwenzangu huku nyuma katukanwa kwenye kikao cha wafamyakazi, matusi ya nguoni.
Nataka kumsaidia tumpeleke mahakamani, naomba procedure za kufuata
Idumu JF