msaada wa kisheria haraka!!

van penga

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
74
Reaction score
4
samahan wataalam...nina swali, mm ni tayar mtumish wa umma katika taasis ya elimu ya ju, kuna kaz zmetangazwa hapa kazini kwa post ya juu zaid hivi naweza kuiomba kama waombaji wengne au kuna utaratbu upi wa kuufuata?
 
Kwanza wewe kuandika maneno na bila kuomba unategemea nini, unaandika kichwa bila kama ni lazima.

Kasome hilo tangazo na vipengele vyake uone mwenyewe au kaulize wa HR wakueleze au aliyetangaza.
 
Kwanza wewe kuandika maneno na bila kuomba unategemea nini, unaandika kichwa bila kama ni lazima.

Kasome hilo tangazo na vipengele vyake uone mwenyewe au kaulize wa HR wakueleze au aliyetangaza.

wamenijib hovyo kaka HR... design wana jealous sasa nimekuja humu nipate msaada wa kisheria kwanza....najielewa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…