Ruben Mandela
Member
- May 14, 2014
- 82
- 12
Salaam ndg Wanajukwaa, nimepanda hapa jukwaani ili nieleweshwe yafuatayo, je, Katiba ya Nchi inasemaje ikiwa Wagombea wawili watapata idadi sawa ya Kura katika uchaguzi mkuu? mf: Magufuli na Lowassa tar 25 Octobr kwa kuwataja tu kwa vile wanapewa nafasi kubwa? Nimeuliza hili kwa Nchi zingine mf Cote de Vore nimekua nikiskia wanakwenda duru ya Pili nk nk
Na je ikiwa kutakua na duru ya Pili ktk kipindi hicho hayo yote yakiendelea Mamlaka(Dola) itakua inaongozwa na nani kwan nadhan ukomo wa Mamlaka ya Serikali iliyopo madarakani ni tar hizo hizo?
Na je ikiwa kutakua na duru ya Pili ktk kipindi hicho hayo yote yakiendelea Mamlaka(Dola) itakua inaongozwa na nani kwan nadhan ukomo wa Mamlaka ya Serikali iliyopo madarakani ni tar hizo hizo?