unlucky
Senior Member
- Aug 9, 2011
- 199
- 56
Habari zenu ndugu zangu nimekuja tena hapa ili nipate kusaidiwa nanyanyasika sana na watoto wangu na sijui pakwenda na kupata haki za watoto kwa haraka bwana niliyemuacha hawahudumii watoto leo miaka miwili analipa shule tu lakini chakula, Mavazi hamna na mambo mengineyo mtoto wa kwanza hajamlipia shule.
Leo miezi 8 bado yupo nyumbani alioa mwezi wa 9 huyu bwana akawachukua watoto mwezi huu wamekaa nae wiki mbili tu na wamerudi na nguo moja hawajaenda shule leo wiki moja.
Huyu bwana akiulizwa analeta madharau na hana wasiwasi kabisa hajaleta nguo zao hata akipigiwa simu hapokei anadharau mimi sina uwezo na huyu bwana ni foreigner.
Mimi naomba nimpate mwanasheria ambae atanisaidia naomba jamani [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]