shegaboy JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 213 Reaction score 34 Aug 14, 2013 #1 Tuanze wapi kwani ni muda sasa mwajiri wetu ajatupa mshahara. tunaomba ushauri wenu ili kujua wapi pa kuanzia. nikiacha kazi natakiwakulipwa ndani ya muda gani? msaada jamani
Tuanze wapi kwani ni muda sasa mwajiri wetu ajatupa mshahara. tunaomba ushauri wenu ili kujua wapi pa kuanzia. nikiacha kazi natakiwakulipwa ndani ya muda gani? msaada jamani
shegaboy JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 213 Reaction score 34 Aug 16, 2013 Thread starter #2 msaada wenu jamani