ni hayo tu wakuuwakuu naomba nijue mahakama sahihi ya kupeleka kesi zifuatazo
1. wewe ni muajiriwa, umeingia mkataba na muajiri wako usome alafu ukimaliza atakurudishia gharama zako. sasa umemaliza na ameshindwa kurudisha. je utaenda mahaka ya kazi au ya kwaida kupeleka madai yako?
2 umeingia mkataba na kampuni unayofanya kazi ui supply computer 3. umesupply lakini kampuni imeshindwa kukupa hela zako. je utaenda mahakama ya kazi au ya kawaida?
ok. hivi kwanini situation namba moja usienda mahakama ya kazi?Kama ujaelewa uliza
naomba explaination ya kisheria kwanini labda situation namba moja nisiende mahakama ya kaziok. hivi kwanini situation namba moja usienda mahakama ya kazi?
Kimsingi sikwamba mahakama ya kazi haiwezi kusikiliza inaweza pia kusikiliza lkn pia na mahakama ile ya kawaida inaweza kusikilizanaomba explaination ya kisheria kwanini labda situation namba moja nisiende mahakama ya kazi
ok, thanksKimsingi sikwamba mahakama ya kazi haiwezi kusikiliza inaweza pia kusikiliza lkn pia na mahakama ile ya kawaida inaweza kusikiliza
Mku hbr .Unaweza kwenda kwenye normal court kufile kesi kwa msingi wa breach of contract na ku claim damage kwa issue zko mbili
0719742868 nitafute mkuuMku hbr .
Samahani kwa kuingilia mada ya Mtu mwingine kwani ninashida ya kisheria.
Naomba kujua kama mwanasheria unisaidie na namna ya kukupata.
Mimi nipo Dar Temeke ninashida ya kisheria