Habarini wanasheria,nina pikipiki zangu nlikua nataka niwape madereva kwa mkataba,kwamba wanipe 10k kwa siku then baada ya mwaka mmoja nawaachia pikipiki.
Sasa naomba kujuzwa jinsi ya kuuandaa mkataba huo ili uwe kisheria zaidi,ili unapovunjwa hatua stahiki zichukuliwe
Asanteni.
[/QUOTECha kwanza lazima Mkataba uwe na kichwa cha habari,,,
Pili wahusika katika mkataba huo, pamoja na anuani zao ikiwa pamoja na SANDUKU LA POSTA NA EMAIL ADDRESS,
Kiwango cha pesa ambacho atalipa
malipo yatalipwa kwa njia ipi Akaunti au Cash
ni vizuri mkataba ukaandaliwa na kusainiwa mbele ya mwanasheria,,,,Nitafute nikupe mtaalamu,,