Msaada wa kisheria juu ya hili

Msaada wa kisheria juu ya hili

activisty

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
315
Reaction score
107
Ikiwa rasimu ya katiba ikajadiliwa katika bunge maalumu la katiba, kisha ikakubalika na kupitishwa ili ije kwa wananchi kwa ajili ya referendum, na pia katika referendum ikapita kwa kura nyingi yan ikakubaliwa na wananchi je? itaitaji sahihi ya rais ili ianze kutumika kama new constitution? au itarejeshwa kwenye bunge la jamhuri kwanza ili ipitishwe then rais asaign ianze kutumika?
 
Back
Top Bottom