Wapendwa,
Katika harakati za kuisoma namba, rafiki yangu ameamriwa kuresign na mwajiri wake au lah atafanya kazi bila malipo. Rafiki huyo ana mkopo toka kampuni hiyo na mwajiri anadai asaini pensheni ndiyo ilipe mkopo. Binafsi si mtaalam wa sheria ila ni mtaalamu wa afya, nimeshindwa kumshauri vizuri.
Tafadhali, naomba msaada katika hili huyu ndugu afanye nini.