Msaada Wa Kisheria juu ya wizi huu unaofanywa na Kampuni ya tigo

Msaada Wa Kisheria juu ya wizi huu unaofanywa na Kampuni ya tigo

Amakando

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
158
Reaction score
30
Wadau nasikitika kuwa kampuni ya simu ya mikononi Tigo wanakata fedha katika simu kila wanapotuma SMS zao juu ya ujio wa Rick Ross kwenye tamasha la fiesta, Binafsi sijaomba kupewa taaarifa zozote juu ya Tamasha hilo, nimepiga simu na kutoa taarifa customer care ambapo kila mara nimekuwa nikielezwa kurekodi malalamiko yangu lakini hakuna majibu yeyote toka kwao, inaniuma sana na nasikitika shilingi mia kwa kila mteja wa kampuni hii kuondoka pasipo hiyari ni wizi, je clouds wanashiriki kupora hela zetu pamoja na tiGo ili iweje? tafadhali naomba msaaada wa Kisheria nifanyeje?
 
Back
Top Bottom