msaada wa kisheria katika kuacha kazi

van penga

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
74
Reaction score
4
habari wanasheria...naombeni msaada wa ushauri katika hali hii....mimi ni mtumishi niliyepanda daraja kazini miezi mi 3 iliyopita lakini bado sijawahi kupata mshahara mpya ninapata ule ule wa cheo cha chini..sasa nimepata kazi mpya nje ya eneo langu na ninahitaji kuacha kwa masaa 24...nikipiga hesabu zangu naona hata nisiporudisha mshahara bado ntaendelea kudai hela katika mshahara mpya ambao sijalipwa miezi mi 3...naombeni utaratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…