Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Salaam wanajamvi,
Msaada na ushauri unahitajika wadungu. Kuna jamaa alikua anafanyakazi na kampuni ya vinywaji Tanzania. Alikua na mkataba wa miaka miwili na uliisha lakini mwajiri hakumpa notisi ile ya miezi mitatu. Baada ya hapo mwajiri alimuandikia barua kuwa atoweza kuendelea nae kwahiyo atamlipa mwezi mmoja kama mkataba unavyosema.
Sasa ni miezi mitatu mwajiri ajalipa pia alikua amchangii NSFF na HESLB kwa hiyo miaka yote. Sasa jamaa amekatalia kwenye nyumba ya mwajiri akitaka kwanza alipwe haki zake huku mwajiri akisema kua atachukua hatua za kisheria kumuondoa kwenye nyumba.
Je, mwajiri anayo ayo mamlaka wakati ajatimiza wajibu wake?
Tutashukuru kwa ushauri