Twende taratibu mkataba wa miaka miwili uliisha ndani wa muda wake?Salaam wanajamvi,
Msaada na ushauri unahitajika wadungu. Kuna jamaa alikua anafanyakazi na kampuni ya vinywaji Tanzania. Alikua na mkataba wa miaka miwili na uliisha lakini mwajiri hakumpa notisi ile ya miezi mitatu. Baada ya hapo mwajiri alimuandikia barua kuwa atoweza kuendelea nae kwahiyo atamlipa mwezi mmoja kama mkataba unavyosema.
Sasa ni miezi mitatu mwajiri ajalipa pia alikua amchangii NSFF na HESLB kwa hiyo miaka yote. Sasa jamaa amekatalia kwenye nyumba ya mwajiri akitaka kwanza alipwe haki zake huku mwajiri akisema kua atachukua hatua za kisheria kumuondoa kwenye nyumba.
Je, mwajiri anayo ayo mamlaka wakati ajatimiza wajibu wake?
Tutashukuru kwa ushauri
Unachanga vitu viwili yani mkataba ni miaka miwili na mkataba uliisha sasa notes ya nini bwashehe, mkataba kuisha kwa muda wake tayari hiyo inafaa kuwa terminationSalaam wanajamvi,
Msaada na ushauri unahitajika wadungu. Kuna jamaa alikua anafanyakazi na kampuni ya vinywaji Tanzania. Alikua na mkataba wa miaka miwili na uliisha lakini mwajiri hakumpa notisi ile ya miezi mitatu. Baada ya hapo mwajiri alimuandikia barua kuwa atoweza kuendelea nae kwahiyo atamlipa mwezi mmoja kama mkataba unavyosema.
Sasa ni miezi mitatu mwajiri ajalipa pia alikua amchangii NSFF na HESLB kwa hiyo miaka yote. Sasa jamaa amekatalia kwenye nyumba ya mwajiri akitaka kwanza alipwe haki zake huku mwajiri akisema kua atachukua hatua za kisheria kumuondoa kwenye nyumba.
Je, mwajiri anayo ayo mamlaka wakati ajatimiza wajibu wake?
Tutashukuru kwa ushauri
Mwajiri ana haki zake hapo ndiyo, wewe kama michango ya nssf wafuate nssf waje kumdai kafungue dai nssf wakiona hakuna mchango wowote haujapelekwa watamdai mwajiri just relax nssf ipo kwaajili yetu, awe hajachangia as long ulikua na mkataba na barua ya kuachishwa kazi atazilipa hiyo michango, tena kama alikua hakukati ile 10% basi atailipa yeye yani atalipa 20%,acha nssf wafuatilie, ila ondoka kwenye nyumba ya mwajiri sheria inaweza fuatiliwa hata ukiwa nje ya nyumba ya mwajiri wakoSalaam wanajamvi,
Msaada na ushauri unahitajika wadungu. Kuna jamaa alikua anafanyakazi na kampuni ya vinywaji Tanzania. Alikua na mkataba wa miaka miwili na uliisha lakini mwajiri hakumpa notisi ile ya miezi mitatu. Baada ya hapo mwajiri alimuandikia barua kuwa atoweza kuendelea nae kwahiyo atamlipa mwezi mmoja kama mkataba unavyosema.
Sasa ni miezi mitatu mwajiri ajalipa pia alikua amchangii NSFF na HESLB kwa hiyo miaka yote. Sasa jamaa amekatalia kwenye nyumba ya mwajiri akitaka kwanza alipwe haki zake huku mwajiri akisema kua atachukua hatua za kisheria kumuondoa kwenye nyumba.
Je, mwajiri anayo ayo mamlaka wakati ajatimiza wajibu wake?
Tutashukuru kwa ushauri
Kweli mkuu ila mara nyingi mtu ambae anakua nje ya issue kama hii ni vigumu kuelewa ila anaweza kukejeri atakavyo. Pia mkuu ajira si lazma kumbuka ila kama mwajiriwa ana haki zake anakudai au anadai lazma uzitimize tu tajiri.Waswahili wakishaachishwa kazi ndo kelele na vimaneno vya kuokoteza dhidi ya mwajiri utavisikia.
Hapa usikute umeshaandika barua TAKUKURU na TRA za kushutumu mwajiri kwa kukwepa kodi na kuhujumu uchumi kisa tu hajakupa ajira tena.
Muwe na shukrani. Hard working pays, ukiwa lopolopo akuajiri tena iweje?
Sio kila amalizae mkataba na kutoongezwa mkataba tena kua sio productive mkuu.Waswahili wakishaachishwa kazi ndo kelele na vimaneno vya kuokoteza dhidi ya mwajiri utavisikia.