ni zipi hizo? Mimi sitaki afungwe nachotaka ni malipo ya deni languMahakamani utahangaika bure, mdaiwa hafungwi we mtishie au mwendee kwenye mahakama zisizo na mawakili
ni zipi hizo? Mimi sitaki afungwe nachotaka ni malipo ya deni langu
hakukua na dhamana ya mkopo. Tulifanya kikao na mashahidi tukaandikishana na mashahidi wakasign je haitoshi kutumika kama ushahid au lazima angekuwepo mwanasheria?Nini ilikua dhamana ya mkopo? Je makubaliano yenu yalikua ya kisheria?
Kwanza angalia Kama ana mali ambayo ikiuzwa pesa zinaweza kupatikana, nje ya nyumba ya familia.Wakuu naombeni msaada wenu.
Kuna mtu nilimkopesha pesa akakwama kulipa. Akaja akaomba kuwa kakwama nikaita mashahidi akaomba mwaka mzima ndio awe amelipa hiyo hela na juzi baada ya mwaka kupita hajaleta hiyo hela.
Ushahidi wa maandishi na mashahidi wote wapo. Je, nikifungua kesi mahakamani naweza kumwomba hakimu atoe muda mfupi wa kulipa deni ikizingatia muda alioniahidi uongo?
Nini ushauri wenu juu ya kesi hii Kabla sijaenda mahakamani kutafuta haki yangu?
Nishaurini please