Msaada wa kisheria, kesi ya matusi na kudhalilishwa

Hahahaaaa hamna kesi yoyote hapo, mwambie mzee a-relaaaaax ikifika cku anayotakiwa kufika mahakamani aende 2
 
Kinachofanyika ni kwamba mkata Rufaa atatoa hoja ambazo anaona zinamfanya akate rufaa na anazoona zitampa ushindi ktk rufaa na mrufaniwa/baba yako atajibu zile hoja na baadaye mahakama ya Juu iliyopelekewa rufaa itaanza kuangalia hoja kwa mujibu wa sheria na kama itamkuta hana hatia itamuachia huru and vice versa.
 

Mzee Tayar kafungwa Muda huu na hakuna dhamana, Sasa nini cha Kufanya Kwa wakt huu!?
 
Kama mahakama ime mtia hatiani tayari. Hakuna jambo lingine la kufanya zaidi ya kukata rufaa. Ili mahakama ya juu ikapitie tena hiyo kesi na kuangalia kama kuna uwalali wa maamuzi kuendelea au kutenguliwa.

Unajua kwa jinsi hii case ulivyo tueleza hapa awali sio rahisi kwa mzee wako kutiwa hatiani na ndio maana alishinda case mara ya kwanza kabla ya rufaa hii iliyomtia hatiani. Kuna nguvu imetumika hapo hasa kipindi hiki cha uchaguzi na kesi yenyewe imetokana na mambo ya kisiasa.

Hakuna sheria ambayo inaweza tafsiri nmaneno " mnagongwa na Mimi" kuwa ni kosa.

Kateni rufaa tena.
 

Inawezekana rufaa kuikatia rufaa Tena!?
 
Kateni rufaa.

Maranyingi kesi ya rufani mahakama inacho fanya nikupitia mwenendo wa kesi usika, kuangalia sheria na procedure kama zili fwatwa na kisha kutoa hukumu yake.



Ngoja waje wanasheria wata kupa msaada wa kisheria zaidi.
 
Kateni rufaa.

Maranyingi kesi ya rufani mahakama inacho fanya nikupitia mwenendo wa kesi usika, kuangalia sheria na procedure kama zili fwatwa na kisha kutoa hukumu yake.



Ngoja waje wanasheria wata kupa msaada wa kisheria zaidi.

Ok Sawa
 
Au mnashauri tufanye!? Mbaya Zaid yeye pia ni mgombea wa udiwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…