nickson1987
Senior Member
- Aug 16, 2011
- 191
- 24
Asante ndgu yang kwa ushauri wako ila kuna watu wameniambia ya kwamba ili niweze kusikilizwa lazima niwe kiasi Kidogo ya sehemu ya hyo pesa halafu nitaongezewa tena muda wa kumaliza deniMkuu,
Ulipaswa kuiomba mahakama ikupe unafuu wa kulipa hilo deni kidogo kidogo mpaka liishe mkuu.
Nina uhakika wangeweza kukuelewa kama ungewasilisha hoja za msingi mahakamani.
Asante ndgu yang kwa ushauri wako ila kuna watu wameniambia ya kwamba ili niweze kusikilizwa lazima niwe kiasi Kidogo ya sehemu ya hyo pesa halafu nitaongezewa tena muda wa kumaliza deni