Sheria husika za Chuo zinasemaje ?
Kila sehemu inaweza ikawa ina sheria zake.., kama nyumbani kwako watoto hawatakiwa kugusa jiko la umeme sio kwamba nyumba zote kuna hizo sheria..., wala huwezi kuchukua sheria za jirani na kuzitumia nyumbani kwako.
Kama wamefanya jambo ambalo linakatazwa basi huo ni utovu wa nidhamu..., na utovu wa nidhamu hautakiwi kwenye community yoyote