muvika online
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 374
- 283
mimi nafanyaga biashara za Online nina Kampuni na Imesajiliwa Kisheria sasa Nilipata kampuni moja ya kenya (Tanzania ina Makao pia) Ambayo Ukijiunga unaweza ku accept malipo kwa Njia ya Simu na Card ya bank mimi nilijiunga na kampuni hiyo kwa maana wateja wangu wengi ni Kutoka Nje ya Nchi hivyo hawawezi kulipia kwa simu hivyo nilijiunga na huduma hiyo ili waweze kutumia Card za Bank mfano Visa, Kumbuka Wateja hao hata siwajui wanapo ishi maana biashara yangu aiagalii mtu anaishi wapi sasa Tatizo limekuja kuwa Nilifanya biashara na watu kama 25 na nilipata $3000 ndani ya siku 7 Sasa Hiyo kampuni inisimamisha nisipokee pesa kwanza mpaka pale hizo$3000 zitakapo kuwa Clear kweli na Mimi nilisubiri lakini jana kitu cha kushangaza walinitumia Email kuwa Pesa zote nilizo pokea Zimerudisha kwa watumaji (Kumbuka hapo nimeisha fanya nao biasha) Sasa nikashangaa wamerudishaje Bila kunipa taarifa kuwa Tunarudisha na Wamekuja kunipa sababu ambazo Si za kweli sababu yenyewe ni kwamba walio tuma pesa walio pesa zilidishe kitu ambacho ni uongo kwani hata mimi Nilituma pesa kujaribu huduma zao ili kuona Zinafanyeje kazi na chakushangaza Pesa yangu pia Imerudishwa, Naomba msaada wa kisheria Ndugu zangu Je ni sasa Mtu kurudisha pesa ambazo zipo kwako bila taarifa?? Mfano Mtu amekutumia Pesa Mpesa anala Vodacom wanarudisha pesa kwa Mtu aliye kutumia Bila Taarifa??? Msaada kisheria nifanyeje
ZIFUATAZO NI EMAIL TULIZOKUWA TUNATUMIANA
ZIFUATAZO NI EMAIL TULIZOKUWA TUNATUMIANA