Msaada wa Kisheria kuhusiana na Biashara

muvika online

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
374
Reaction score
283
mimi nafanyaga biashara za Online nina Kampuni na Imesajiliwa Kisheria sasa Nilipata kampuni moja ya kenya (Tanzania ina Makao pia) Ambayo Ukijiunga unaweza ku accept malipo kwa Njia ya Simu na Card ya bank mimi nilijiunga na kampuni hiyo kwa maana wateja wangu wengi ni Kutoka Nje ya Nchi hivyo hawawezi kulipia kwa simu hivyo nilijiunga na huduma hiyo ili waweze kutumia Card za Bank mfano Visa, Kumbuka Wateja hao hata siwajui wanapo ishi maana biashara yangu aiagalii mtu anaishi wapi sasa Tatizo limekuja kuwa Nilifanya biashara na watu kama 25 na nilipata $3000 ndani ya siku 7 Sasa Hiyo kampuni inisimamisha nisipokee pesa kwanza mpaka pale hizo$3000 zitakapo kuwa Clear kweli na Mimi nilisubiri lakini jana kitu cha kushangaza walinitumia Email kuwa Pesa zote nilizo pokea Zimerudisha kwa watumaji (Kumbuka hapo nimeisha fanya nao biasha) Sasa nikashangaa wamerudishaje Bila kunipa taarifa kuwa Tunarudisha na Wamekuja kunipa sababu ambazo Si za kweli sababu yenyewe ni kwamba walio tuma pesa walio pesa zilidishe kitu ambacho ni uongo kwani hata mimi Nilituma pesa kujaribu huduma zao ili kuona Zinafanyeje kazi na chakushangaza Pesa yangu pia Imerudishwa, Naomba msaada wa kisheria Ndugu zangu Je ni sasa Mtu kurudisha pesa ambazo zipo kwako bila taarifa?? Mfano Mtu amekutumia Pesa Mpesa anala Vodacom wanarudisha pesa kwa Mtu aliye kutumia Bila Taarifa??? Msaada kisheria nifanyeje

ZIFUATAZO NI EMAIL TULIZOKUWA TUNATUMIANA



 
Hii ndugu hata mbali na kisheria kibinadamu haiko sawa chukulia mfano voda wangekuwa wanapigiwa simu na mteja kuwa amekosea kutuma pesa na wao hawampigia Wakala simu bali wanaamua kuwarudishia watu wote ambao umefanya nao biashara pesa yao leo kusingekuwa na mpesa, Kingine Pesapal wanapaswa kukulipa gharama za hasara na gharama muda na hasara ulizo zipata.
 
Mkuu hii ungeipeleka kule jukwaa la mahusiano au jukwaa la udaku,, maana ndio wanaposhinda great thinker wote huko na wanasheria kina Petro E. Mselewa ,,huku jukwaa la mambo ya maana huwezi waona
 
Una mkataba nao? Terms za kujiunga kwao zikoje?

Ushauri wachape barua ya kukusudia kuwchukulia hatua za kisheria. Tafuta lawyer akuandikie kwenye headed paper wapewe kwa mkono.

Njia hii itakufanya waone upo serious na kuonesha wakicheza kwa pilato panawahusu wakizingua.
 

Ndio kiongozi sisi ni kampuni hatuwezi fanya kitu bila Mkataba na Kingine hakuna sehemu waliposema kuwa wanarudisha pesa bila kukutaarifu, ASANTE KWA USHAURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…