nemnunu
Member
- Jun 4, 2019
- 74
- 64
Kisheria hii imekaaje.
Mtu ana bodaboda ametoa kwa mkataba, ikatokea pikpik imeibiwa na aloibiwa sio huyo alokabidhiwa kwa mkataba ni mtu wa pili.
Polisi wakafungua kesi ya jinai ambapo mtuhumiwa akawa huyo mtu wa pili ambaye hana mkataba na mmiliki.
Sasa je ni vip huyu mmiliki anaweza pata haki yake, ikiwa mtuhumiwa na yeye hawana makubaliano?
Inawezekana kesi ikabadilishwa toka kwenye jinai ikawa madai ili akabiliane na huyo alokabidhiana naye?