Mwizi kaiba kapatikana sheria inachukua mkondo wakeKisheria hii imekaaje.
Mtu ana bodaboda ametoa kwa mkataba, ikatokea pikpik imeibiwa na aloibiwa sio huyo alokabidhiwa kwa mkataba ni mtu wa pili.
Polisi wakafungua kesi ya jinai ambapo mtuhumiwa akawa huyo mtu wa pili ambaye hana mkataba na mmiliki.
Sasa je ni vip huyu mmiliki anaweza pata haki yake, ikiwa mtuhumiwa na yeye hawana makubaliano?
Inawezekana kesi ikabadilishwa toka kwenye jinai ikawa madai ili akabiliane na huyo alokabidhiana naye?
Ahsante sanaMwizi kaiba kapatikana sheria inachukua mkondo wake
Mwenye mkataba ni mmiliki kwa mkataba mazingira yakuibiwa yakoje?
Mmiliki ana nyaraka halali zinazoonesha umiliki wa chombo! Chombo chochote cha moto kinapaswa kuwa na bima...
Mmiliki achukue mkataba na RB apeleke bima asubiri utaratibu
Mm naombeni msaada nimeenda kuchukua faili mahakamani nipele bima nimeambiwa limepotea hukumu ilikuwa mwaka huu mwezi wa piliYeye Adili na aliyemkabidhi anaweza kumfungulia case ya madai
hukumu ya kesi gani..Mm naombeni msaada nimeenda kuchukua faili mahakamani nipele bima nimeambiwa limepotea hukumu ilikuwa mwaka huu mwezi wa pili
Kesi ya ajari ya Gali ilipinduka na kusababisha kupoteza mkonohukumu ya kesi gani..
omba nakala ya hukumu hawawezi potezaKesi ya ajari ya Gali ilipinduka na kusababisha kupoteza mkono