hongereni na majukumu ya ujenzi wa taifa wakuu.ninaomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu mtu aliewahi kuajiriwa na serikali kisha akaachishwa kazi kwa madai ya utoro kazini,je anaajirika tena na serikali? kama ni ndiyo, kuna mchakato wa kupitia au ni kawaida kama freshers?