Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
sehemu kunakopita zile nguzo huwa kuna umbali nadhani mita 15 kila upande kama nitakuwa sijakosea, inawezekana sehemu ya eneo si lake ila kwa kujiridhisha aite maafisa ardhi/mipango miji wanaweza kumpa jibu halisi zaidi Dalali wa mjini.Kama Kuna zile nguzo za Umeme mkubwa wa TANESCO jaribu kufanya uchunguzi kwanza isijekuwa eneo Hilo sio lake au lilishakuwa acquired.
Kuhusu gharama awaulize hao wataalam anaotaka kuwapeleka. (Gharama haziko fixed)