Msaada wa kisheria kuhusu Bima

Bima zote zitalipwa kwa muhanga wa janga ila Kama janga litahusishwa kwa third party basi mahakama itasubiriwa kutoa shuruti...
Ok!
Means comprehensive haimlipi third party au pia sijakuelewa.
 

Asante ndugu, hata dereva asipo kutwa na hatia waweza kulipwa na kampuni ya bima, pia hata kama dereva akikimbia bado haizuii kulipwa stahiki zako maana yupo mtu mwingne atahusika katika kutoa vielelezo vya gari (mmiliki) na hata kama mmiliki ni dereva bado gari hiyo ina sticker kwaiyo ni rahisi kupata kujua details za bima ya gari husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali:
Je, ni kwa nini kuwe na ulazima wa mtu kukata bima wakati amejikubalishabakipatwa na majanga atakabiliana nayo mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea kwa bahati mbaya ukapata ajali na kufariki wakati ulikuwa unaendesha gari lako ambalo halina bima, na wakati huo ukiwa umeua na/ ama kujeruhi abiria wengine uliokuwa umebeba, mzigo wa hao watu waliojeruhiwa au waliofariki kwenye ajali, unakuwa umewaachia watu wengine. Ili usifanye hivyo, unalazimika kuwa na Bima ili ikitokea bahati mbaya ya namna hiyo, abiria hao waweze kufidiwa na Bima
 
Ahsante de paymer kwa kutumia elimu yako na muda kutuelimisha. Wewe wastahili kuwekwa kwenye kundi la walioelimika.
 
Uzi mzuri. Sema mimi nakomaa sikati bima mpaka mwaka utimie. Let's gooo
 
de paymer sorry Mkuu vip kwa dereva aliyesababisha Ajali na kuua wakati gari yake Bima ime expire, vip fidia inakuaje? Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…