hivi inaweza mtoto kuwa na majina mawili tu na asiwe na surname. sheria za tanzania zinasemaje? yaani lets say mtoto anaitwa jacob ww unaitwa ladislaus surname massawe. je mtoto anaweza kuitwa jacob ladislaus tu.
msaada wadau

Kwani kwenye cheti cha kuzaliwa jina la baba wa mtoto linasomekaje? Anaweza kuandika apendavyo lakini in reference kwa jina la baba katika cheti cha kuzaliwa, kama atachukua moja ama yote ni hiari.