Msaada wa kisheria kuhusu ku-refile case

Msaada wa kisheria kuhusu ku-refile case

Joined
Apr 18, 2017
Posts
45
Reaction score
40
Kesi imefutwa (dismissed).APPLICANT KALETA APPLICATION YA KU REFILE CASE.HII KISHERIA INAKUBALIKA.Ni case zipi za namna hii Applications za ku refile zilikuwa rejected.
 
Kesi imefutwa (dismissed).APPLICANT KALETA APPLICATION YA KU REFILE CASE.HII KISHERIA INAKUBALIKA.Ni case zipi za namna hii Applications za ku refile zilikuwa rejected.
Mkuu, kesi ikiwa dismissed huwezi ku-refile. Dismissal order inaashiria ukomo wa kesi/shauri na hariruhusiwi tena kurudishwa mahakamani. Hata hivyo kesi inayokuwa dismised, kutegemea na sababu za kuwa dismissed, inaweza kurudishwa baada ya mshitaki/mdaawa kuomba restoration of the suit.

Mkuu, pengine ni vigumu kukupatia maelezo mazuri kulingana na wewe ulivyouliza. Ni vizuri ukaelezea mazingira ya kesi hiyo na sababu za kuwa dismissed.
 
Back
Top Bottom