Ni jambo lisilopingika kuwa watoto wa masikini wanao soma shule za kata wanapewa MITIHANI na NECTA kwenye masomo ambayo hawajawahi kufundishwa na wanaandikiwa 0 ambayo ni F na kuwaharibia vyeti vyao na maisha yao pia.
Natoa wazo hli kwenu wadau wa elimu tujadili swala hili; je kuna uwezekano wa kuiburuza serikali na NECTA mahakamani
kwa kosa hili?
Ukweli ni kwamba wanafunzi hawa wapo wengi na wanaweza kusaidia ktk kutoa ushahidi mahakamani.