Umenifumbua macho, naona haya ni majibu ya huyo niliyembold 7bu alikuja hapa jamvini na kulalamika kuna mtu amemkopa hela hataki kumrudishia.Hebu malizaneni bana
sio lazima ujibu kila post kujaza idadi kama una jibu unasoma unapotezea
Mkuu EMT ninavyoona hawa watu wanafahamiana na there is a personal issue between the two. Inawezekana pia kuwa kuna madai au hakuna madai na wanachafuliana. Maana kila anachojibu jamaa kuna mtu hapa anaitwa Mary Glory anamjibu kuwa anamdai na personal issues nyingine. Naona kwanza jamaa angekuwa wazi kuwa hadaiwi na hakuna issue between the two bdo utoe msaada kisheria maana naona kama unajitahidi kutoa msaada kisheria wakati it seems there is a hidden agenda
Sasa kama mtu analo jibu halafu apotezee baada ya kusoma mi nakuwa sioni mantiki ya wewe kuanzisha hii thread!
nafarijika kwamba anayehukumu kwa haki ni mungu tu.hata ujisafishe vipi mbele ya watu kwa mungu is not so.najua haki yaki ipo na mungu mwenye pumzi yangu na yako anamjua mwenye haki ni nani kati yangu me na wewe.huwezi kumhonga mungu atatenda haki tu.na najua hata hayo unayotaka kuyafanya halitafanikiwa hata moja coz mungu yupo mtetezi wa wanaoonewa.we mwenyewe ni shahidi wa yanayotokea maishani mwako sasa ivi.ujira wa maovu ni hapahapa duniani.hakuna aliyedhulumu akafanikiwa especially anayejiita eti anamjua mungu it is impossible.:-@EMT mkuu heshima mbele thhanx kwa msaada wa kisheria nimeyafanyia kazi mkuu nimeshamweleza lawyer yupo kwenye proces hope soon litakuwa sort out mkuu my hand are clean mkuu thats why nimeamua kwenda mbele mkuu i will give u feedback
Mkuu umeona eeehhh naona kuna zaidi ya hicho jamaa anacholalamika hapa n a hakuna cha defamation na kuna personal issues zaidi ya hiyo
Mkuu EMT ninavyoona hawa watu wanafahamiana na there is a personal issue between the two. Inawezekana pia kuwa kuna madai au hakuna madai na wanachafuliana. Maana kila anachojibu jamaa kuna mtu hapa anaitwa Mary Glory anamjibu kuwa anamdai na personal issues nyingine. Naona kwanza jamaa angekuwa wazi kuwa hadaiwi na hakuna issue between the two bdo utoe msaada kisheria maana naona kama unajitahidi kutoa msaada kisheria wakati it seems there is a hidden agenda
Hujaenda tu kwa huyo lawyer?nayeye ana akili ati atajua kabsa ukweli na haki ni ya nani.just omba msamaha nafssi yako ikae kwa amanimkuu ushahidi upo wa kutosha kabisa nimemrecord nina sms zaidi ya 600 na rb ninazo zamatukio mbalimbali nimempa warning ackii nipo kwenye proces ya kumwona lawyer ili nidai compasation kwa kunichafulia jina langu
Mkuu mnaishi eneo moja. Ingekuwa vizuri ukamshirikisha mkuu wa kitongoji pia kujaribu kusuluhisha.
Otherwise, Mkuu mwandikie formal letter. Ziko sample letters kwenye Google kibao kama hii niliyomodify.
Dear X
Re: INTENTION TO TAKE LEGAL ACTION
For long time [specify the period], you have been spreading disparaging remarks about about me. The remarks are[list them]..............
hakika kuna watu.na laiti mioyo ya watu ingekuwa inaonekana yanayowajaza tungekimbiana.duniani kuna watu ....
Hujaenda tu kwa huyo lawyer?nayeye ana akili ati atajua kabsa ukweli na haki ni ya nani.just omba msamaha nafssi yako ikae kwa amani
mkuu ushahidi upo wa kutosha kabisa nimemrecord nina sms zaidi ya 600 na rb ninazo zamatukio mbalimbali nimempa warning ackii nipo kwenye proces ya kumwona lawyer ili nidai compasation kwa kunichafulia jina langu
Thanx.kwa sasa naangalia navyoweza kurecover my money,hayo mambo mngine just wait
MaryGlory,
Recovery of the money is possible. Just find a good lawyer akupe advice. Ingawa unayemdai ni mumeo lakini haizuii nyie pia kuwa na biashara kati yenu. Ur partners. Na katika hili mumeo anakuwa partner wako katika biashara ya ukopeshanaji. Kama anakiri unamdai huo ni ushahidi tosha. Mahakama itatake judicial notice of the fact that loan was part of an oral contract.
Wakuu heshima mbele jamani nisaidieni nifanyeje m2 anapokupakazia anakudai anapita kwa marafiki ndugu na wote wanaokujua ana kielelezo chochote akiambiwa mpeleke polic ataki mkikutana 2 anakwambia nitakuabisha mpaka ujute naitaji kukomesha hii hali mana utani utani imeanzakuwa kero
Yeye ameanzisha hii thread baada ya mimi kuomba ushauri wa kisheria kuhusu madai.infact ni kama kulipiza kwa vile mm nimeomba ushauri hapa jamvini.Wakuu naomba ufafanuzi kama mna uhusiano wowote. I mean kama nyie ni mdai na mdaiwa. Mary Glory ulishaomba ushauri huko nyuma juu ya mtu unayemdai. Ninaomba muwe wazi hapa kwa sababu naona kama vile mnatufanya tuende tofauti na sheria. Kuna kitu tunaitwa conflict of interests. Kisheria hatuwezi kutoa ushauri kwa mdai na mdaiwa on the same problem. Hairuhusiwi. Japokuwa hii ni forum tuu, I follow and believe on ethics. Naomba mnieleze mapema, ili nifute posts zangu kwenye hii thread na ile aliyoanziswa na Marry Glory.