hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 595
kwakuwa wanafana ungeongezea kuwa mmoja akiwa na demu wote wanachapa.Habar za kwenu Ndugu zangu kuna jambo naomba kujuzwa eti si kosa kwa mapacha wanaofanana kutumia lesen moja ya gari.
Cheti cha shule iwapo mmoja alifeli mmoja akaendelea bas wanapasiana vyeti kusonga mbele. Naomba kujua kama ni kosa kisheria na nini adhabu yake.
kwa sababu umeuliza ujinga,so unajibiwa ujinga pia!Swali nalouliza alijibiwi zinakuja stanza
Tatizo umri unakupeleka puta.kwa sababu umeuliza ujinga,so unajibiwa ujinga pia!
Sisi tupo mapacha mwenzangu anaitwa Edwin lakini Kila mtu ana cheti chake, ana leseni yake (ingawa wakati mwingine tunatumia 1 ku drive ikitokea mmoja kaisahau yake) na kila mtu ana passport yakeHabar za kwenu Ndugu zangu kuna jambo naomba kujuzwa eti si kosa kwa mapacha wanaofanana kutumia lesen moja ya gari.
Cheti cha shule iwapo mmoja alifeli mmoja akaendelea bas wanapasiana vyeti kusonga mbele. Naomba kujua kama ni kosa kisheria na nini adhabu yake.
Shikamooo juhasijui huyu muuliza swali ana umri gani? ndio maana wakenya wanatudharau watz kwamba hatuna akili za kufikiri, ni kutokana na watu aina hii. jibu liko wazi lakini anasubmuka kuuliza.