Msaada wa kisheria kuhusu memorandum and article of association

Msema yote

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
448
Reaction score
299
Poleni na majukumu ya kazi ndugu zangu.
Ndugu zangu nahitaji kufanya usajili wa kampuni binafsi, nimepitia maelezo mbali mbali nilio kutana nayo huko mitandaoni namna ya kuanzisha kampuni binafsi Tanzania nimeelewa, ila kinacho ni kilichonishinda kuelewa ni
Memorandum and Articles of Association ya kampuni kwani nimepitia tovuti ya brela BRELA

nikakutana hiyo katiba ambayo ni sample hivo unachotakiwa ni kuedit na kufanya usajili. Sasa kilicho nishinda ni kitu kimoja tu ndugu zangu, nimeshindwa kuelewa wapi pa kuedit na wapi sio pa kuedit (Lugha ya kiingereza naelewa vizuri) ila nilicho shindwa ni lugha ya kisheria hivo naomba niiwe hiyo katiba hapa mnisaidie kipi cha kuondoa na kipi cha kuacha ili hatimae nikamilishe hitaji langu.

NTASHUKURU SANA ENDAPO OMBI LANGU KWENU LITASHUGHULIKIWA, ASANTENI.




THE COMPANIES ACT

(Cap. 212)

COMPANY LIMITED BY SHARES


Memorandum

and

Articles of Association

of

JASIRI ENTERPRISES LIMITED


Incorporated this ………….. day of …………20….


Drawn by:
Halima Subira,
(subscriber)
P.O Box 000,
Dar es salaam.
__________




THE COMPANIES ACT (Cap. 212)
COMPANY LIMITED BY SHARES

MEMORANDUM OF ASSOCIATION

OF

JASIRI ENTERPRISES LIMITED


  1. The name of the Company is JASIRI ENTERPRISES LIMITED.


  1. The registered office of the company will be situated in Tanzania


  1. The Object for which the company is established is to carry on business as a general commercial company.


  1. The Liability of the members is Limited.


  1. The share capital of the company is Tanzania shillings Ten Million (10,000,000/=), divided into One Thousand (1,000) Ordinary shares of Tanzania shillings Ten Thousand (10,000/=) each and the company shall have power to increase its capital and to divide the shares in its capital for the time being into several classes of stock or shares and to attach thereto respectively such preferential, deferred or in accordance with the Articles of Association of the company.

We the several persons whose names and addresses are subscribed are desirous of being formed into a company in pursuance of this Memorandum of Association and we agree to take the number of shares in the capital of the company set opposite our respective names:

Name, Address and Description of SubscriberNumber of Shares taken Signature
1.Halima Subira,
P.O. Box 000,
Dar es salaam.
500
2.Jackson Evarist,
P.O.Box ###,
Arusha.
500
Dated at Dar es Salaam this ………………….. day of ……………………20….
Witness to the above signature:
Signature: …………………………………………….
Postal Address: ……………………………………….
Qualifications: ………………………………………..

THE COMPANIES ACT (Cap. 212)

COMPANY LIMITED BY SHARES

ARTICLES OF ASSOCIATION

OF

JASIRI ENTERPRISES LIMITED

The regulation of Table ‘A’ in the First Schedule to the Companies Act (hereinafter called Table ‘A’ shall apply to this Company as its Articles of Association.

DIRECTORS

1.(a) Until otherwise determined by the Company in general meeting
the Directors shall be not less than two and not more than…….

(b)The following persons shall be the first Directors to the
Company:-
1. Halima Subira.
2. Jackson Evarist .

_____________


Name, Address and Description of SubscriberNumber of Shares taken Signature
1.Halima Subira,
P.O. Box 000,
Dar es salaam.
500
2.Jackson Evarist,
P.O.Box ###,
Arusha.
500

Dated at Dar es Salaam this ………………….. day of ……………………20….
Witness to the above signature:
Signature: …………………………………………….
Postal Address: ……………………………………….
Qualifications: ………………………………………..
 
Mkuu nakushauri uende kwa advocate au legal Firms/clinics kazi yako itafanyika kwa ufasaha na ufanisi zaidi
 
hiyo kazi ya kuedit tena kuedit hivyo vijimaandishi kama ulivyoweka hapa italeta matatizo kwenye kampuni muda si mrefu baada ya kuanzishwa kwake
unaweza tafuta msaada wa kisheria kwenye kuziaandaa na kutokana na kwamba unamalengo ya kuanzisha kampuni yako sidhani kama utataka kushindwa kulipia gharama za kuandaa hizo documents. fanya hivyo kwa faida ya kampuni yako
 

Kaka mi naweza kukudraftia mpya na nzuri kwa bei safi tu ni wewe mana hiyo anaandaa wakili au mwanasheria yoyote anayejua legal drafting vizur. Nishawah watengenezea watu ka 5 humu waje waseme 0712619975
 
Kaka mi naweza kukudraftia mpya na nzuri kwa bei safi tu ni wewe mana hiyo anaandaa wakili au mwanasheria yoyote anayejua legal drafting vizur. Nishawah watengenezea watu ka 5 humu waje waseme 0712619975
naona promo mjomba
ila fresh kakuona muhitaji
 
Kaka mi naweza kukudraftia mpya na nzuri kwa bei safi tu ni wewe mana hiyo anaandaa wakili au mwanasheria yoyote anayejua legal drafting vizur. Nishawah watengenezea watu ka 5 humu waje waseme 0712619975

Nashukuru sana mkuu lakini siitaji kuandikiwa upya nilihitaji ushauri wa kuediti hiyo maana brela wao wenyewe wanita hiyo ni sample na wanaruhusu kuedit, hivo nilihitaji ushauri
By the way NASHUKURU SANA
 
Afu hii nchi mi nashindwafa kuelewa sijui darasani wanafundisha vitu gani me i thought haya ndp mambo basic kila mtu alitakiw kuyajua,
 
Afu hii nchi mi nashindwafa kuelewa sijui darasani wanafundisha vitu gani me i thought haya ndp mambo basic kila mtu alitakiw kuyajua,

huwezi kujua Kila kitu mkuu, duniani Kuna mambo mengi ambayo Ni muhimu, (just necessities)
 
...na suala la kutengeneza MEMATS siyo dogo, watu wanatumia muda mrefu kujifunza, na pia Ni lazima uijue sheria za kampuni, maana mle Kuna mambo ya shares, members, wakurugenzi, e.t.c so kwa mtazamo wangu Hili huwezi kulifanya likawa general study.
cc jaslaws
 
this is pure advocates job mzee
 
kazi za watu hizi mkuu usitake vitu rahisi....tafuta wakili
 
BUSIMINET COMPANY LIMITED
Po.box 12659
Kinondoni-Dar es salaam

Tanzania

Mob:
07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58
E-mail:
busiminet@gmail.com

Website: busiminet.blogspot.com

OUR SERVICES: Tax, Business, IT, Accounting &Bookkeeping and Other services
TAX
1.Assist in preparation and submission of Returns to TRA
2.
Assist in estimation and determination of tax liabilities.
3.Online Returns submission and Payment Registration with TRA.
4.
Assist in Tax Payment processing.
5.Reminding about due dates for Tax payment and Other Tax/Statutory compliance.
6.
Tax health-checks
7.
Processing transfer or change of ownership with TRA
8.
Assist in filing and submission of TRA forms.
9.
Assist in Applications for Requesting Tax exemption.
10.
Tax consultation and advisory.
BUSINESS

1.
Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
2. Assist in business name, NGO's, Succoss and Company registration with BRELA.
3.
Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile
4.
Preparation of business plans
5.
Business Restructuring
6.Loan processing
7
.
Business consultations
8.
Preparation of Research proposals


IT AND RELATED SERVICES
GRAPHIC DESIGN
1.
Logo,Bill boards, Posters.
2.
Business cards, Identity cards (ID).
3.
Brochures Flyers, Invitation cards.
4.
Calendar,Product label Magazines
5.
Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
6.
Website, Blogs and Systemdesign and development
7.
Computer maintenance
8.
Computer software installation
9.
Network designing and installation
10.CCTV installation
11.
AC installation and maintenance

ACCOUNTING AND BOOK-KEEPING SERVICES
1.Stock counting
2.
Preparation of bank reconciliations
3.
Preparation of annual financial statements complying with International Financial Reporting Standards.

4.Posting of financial transactions from source documents , (IFRS).
5.
Preparation of budgets and management reports.
6.
Payroll services (preparation of the payroll including pay slips)
7.
How to keep books of account

OTHER SERVICES
1.
Mining
2.
Marketing and advertisement
3.
Education
4.
Agricultural activities
5.
Gas activities
6.
Cargo clearing
7.
Legal consultancy
8.
Staff recruitment & Out-Sourcing
9.
Project management and analysis
10. Training and workshops to Enterpreneurs, scholars and other groups that need to excel in their business

Business in the smooth environment ensures growth


okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…