Naombeni wanasheria mnisaidie, kuna familia ilifiwa na baba tangu mwaka 2002 na kila ilipojaribu kufuatilia mirathi imekuwa ikizungushwa hadi ikakata tamaa.
1. Je, kwa muda huo mirathi bado ipo au itakuwa ime-expire?
2. Huyo baba alikuwa na wake wawili, alipofariki mke mdogo ambaye walikuwa wamezaa watoto wawili aliondoka na kuolewa na mwanamme mwingine, vp huyo mwanamke anaweza kudai mirathi kwa mujibu wa sheria wakati alishaolewa pengine?
3. Familia hii inaweza kusaidiwaje kwa kutumia sheria kwa sababu hata aliyekuwa ameteuliwa kufuatitilia mirathi hiyo naye amefariki.