Mkuu kwa kusema haya tu ,tayari ushajulikana wewe ni nani na kama kuna mabosi zako humu tayari washakujua..Habarini wapendwa
Mimi ni mfanyakazi wa mkataba katika shirika moja la umma,na kwa sasa nafanya nao kazi katika mkoa wa Tanga
Msaada naoumba kwenu ni kwamba nilipewa mkataba mwaka mmoja ambao uliisha 15/11/2017 lakini cha kushangaza ni kwamba mpaka sasa sijapewa mkataba mwingine nisaini japo naendelea na kazi na mshahara wananilipa??
Na je kama huyu mwajiri akiniletea mkata wakati nimeshafanya zaidi ya miezi sita nifanyeje????
Acha kunitisha wewe,badala unipe msaada kisheria unanitisha??Mkuu kwa kusema haya tu ,tayari ushajulikana wewe ni nani na kama kuna mabosi zako humu tayari washakujua..
Be carefull sio kila kitu unakiweka jf tena kwa uwazi hivyo.
Haha uyo bush lawyer ndo mnamuamini humu etiPETRO E Mselwa
Ivi unaelewa maana ya maneno "msaada wa kisheria"???Acha kunitisha wewe,badala unipe msaada kisheria unanitisha??
Nakuambia ukweli alafu wewe unasema nakutishaa??...are u serious????Acha kunitisha wewe,badala unipe msaada kisheria unanitisha??
cha Usenge basiNakuambia ukweli alafu wewe unasema nakutishaa??...are u serious????
Haya tunakuamini wewe forest lawyerHaha uyo bush lawyer ndo mnamuamini humu eti
Tena thick forest lawyer.... when i drag u into my forest lawyering, trust me you gonna be lost in the thick bushes!Haya tunakuamini wewe forest lawyer
Great.Tena thick forest lawyer.... when i drag u into my forest lawyering, trust me you gonna be lost in the thick bushes!
Ey just kiddin,