mmbangaya
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 997
- 1,765
wana Jf
Naomba mwenye uelewa na sheria ya ajira anisaidie. Pale ambapo mfanyakazi anakopeshwa mkopo wa ajira na mwajiri wake na dhamana inakuwa ni ajira.., ikatokea mfanyakazi huyo akafanya kosa la kawaida tuu siyo wizi na akafukuzwa kazi. Hapa ule mkopo aliopewa kama hajamaliza kuulipa inakuwa aje?