N nicholaus omollo Member Joined Jan 2, 2014 Posts 24 Reaction score 3 Mar 27, 2016 #1 Jamani ndugu zangu wataalamu wa sheria kuna mtu nilimkopesha milioni moja na tukaandikiana kuwa baada ya miezi 2 atatudisha milioni moja na laki tatu saivi ni miez minne mnisaidie nifanyeje kisheria ili nipate ata iyo milion moja yangu aksanteni
Jamani ndugu zangu wataalamu wa sheria kuna mtu nilimkopesha milioni moja na tukaandikiana kuwa baada ya miezi 2 atatudisha milioni moja na laki tatu saivi ni miez minne mnisaidie nifanyeje kisheria ili nipate ata iyo milion moja yangu aksanteni
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Mar 27, 2016 #2 wenzako wanaandikiashiana mahakamani