mr traders
Member
- Oct 27, 2012
- 38
- 15
hellow wadau , mimi na tatizo la la kisheria linalonisumbua n kwamba kuna jamaa ambaye ni business partener wangu na nahish nae hapa dar, tunafanya biashara pamoja zaid ya miaka minne sasa ila kama miez sita iliyopita hivi tumeingia kwenye mgogoro biashara ila taarifa za uhakika nilizopata ni kuwa anaenda kwenye makampun ya simu ikiwemo voda com anaomba kupata sms zote na namba za watu ninao wasiliana nao, na hata kipind cha nyuma kabla hatujagombana alishawah kuniambia kuna jamaa yake yupo voda anaweza mpa hizo sms na voice calls. je naomba kuuliza inaruhisiwa kama anavyofanya yeye? na kama anaruhusiwa ni idara gan inayofanya huo utaratibu? na je mm malalamiko yangu naweza kuyapeleka wap kisheria? naomben msadaa wenu wadau